SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label BENKI YA CRDB YAZINDUA KIPINDI CHA WATOTO CHA LUNINGA CHA JJ BONGO SHOW. Show all posts
Showing posts with label BENKI YA CRDB YAZINDUA KIPINDI CHA WATOTO CHA LUNINGA CHA JJ BONGO SHOW. Show all posts

Wednesday, January 22, 2014

BENKI YA CRDB YAZINDUA KIPINDI CHA WATOTO CHA LUNINGA CHA JJ BONGO SHOW

Mkurugenzi wa Masoko, Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akimkaribisha  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika kituo cha televisheni cha TBC kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa uzinduzi wa kipindi cha watoto cha Luninga cha ‘JJ-Ubongo Show’ kitakachodhaminiwa na akauti ya Junior Jumbo na kurushwa katika vituo vya televisheni kwa lengo la kuwafanya watoto wapende masomo ya hisabati, sayansi na fedha. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.