Wasafiri
kutoka mikoani kuelekea jijini Dar es Salaam, waliokuwa wakisafiri jana
wakiwa eneo la Ruvu Darajani wakitafakari jinsi ya kuvuka eneo hilo
baada ya barabara kujaa maji na kushindwa kuvuka kwa mabasi kutokana na
mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini.
Showing posts with label BARABARA. Show all posts
Showing posts with label BARABARA. Show all posts
Monday, April 14, 2014
ABIRIA WA MIKOANI WAKWAMA DARAJA RUVU, BARABARA, DARAJA VYAJAA MAJI
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Monday, April 14, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook



