SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Afisa Usalama Bandia Anaswa Kwenye Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Geita. Show all posts
Showing posts with label Afisa Usalama Bandia Anaswa Kwenye Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Geita. Show all posts

Tuesday, November 12, 2013

Afisa Usalama Bandia Anaswa Kwenye Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Geita

GEITA: Katika hali ambayo inazidisha mashaka juu ya Usalama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mtu mmoja ambaye hajatambulika nia yake, amefanikiwa kujipenyeza katika msafara wa Rais na kujifanya miongoni mwa walinzi wa msafara.