Mtandao
wako bora kabisa unakuletea moja kwa moja (LIVE) tukio la mwaka mmoja wa
kipindi cha Michezo cha kituo cha Radio E-fm, Sport headquarters. Tukio
hili linafanyika hapa katikati ya Jiji la Dar es Salaam..
Wadau
mbalimbali wa michezo na wasikilizaji pamoja na wachambuzi wa michezo
wapo hapa wakifuatilia tafrija hii ya ‘Party’ maalum katika mgahawa wa
sport rounge katikati ya jiji la dar-es-salaam.
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog)




0 comments:
Post a Comment