Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Wakati alipotembelewa na Jaji Mkuu Mhe
Mohamed Chande Othman na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika
hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore,
Maryland. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na
mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa
kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi na pia kukutana na taasisi
mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia
wa ujenzi wa maendeleo ya mahakama.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed
Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014
katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini
Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali
hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama
Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja
na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria
mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia wa ujenzi wa maendeleo
ya mahakama
mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia wa ujenzi wa maendeleo
ya mahakama
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed
Chande Othman pamoja na ujumbe wake waliopomtembelea na kumjulia hali
Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya
Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada
kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Jaji
Mkuu na ujumbe wake wako Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na
mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa
kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia
kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika
ili kupata wabia wa ujenzi wa maendeleo ya mahakama. Wengine kutoka
kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula,
Jaji wa Mahakama ya rufani Mhe Ibrahim Juma, Msajili wa Mahakama Kuu Mhe
Ignass Kitusi, daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi na Mtendaji Mkuu
wa Mahakama Mhe Hussein Katanga.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed
Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014
katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini
Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali
hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama
Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja
na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa
kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia
kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika
ili kupata wabia wa ujenzi wa maendeleo
ya mahakama
ya mahakama
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Jaji Mkuu na ujumbe wake wako Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi jijini Washington na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata wabia wa ujenzi wa maendeleo ya mahakama.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Mhe Liberata Mulamula aliyesindikiza msafara wa Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe Mohamed Chande Othman walipokwenda kumjulia hali jijini Baltimore,
Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Jaji wa Mahakama Ya Rufani Tanzania
Mhe Ibrahim Juma ambaye ni mmoja wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman walipokwenda kumjulia hali jijini
Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Mhe Ignass Kitusi ambaye ni mmoja wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman walipokwenda kumjulia hali jijini
Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Mhe
Hussein Katanga. ambaye ni mmoja wa wajumbe wa msafara wa Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman walipokwenda kumjulia hali jijini
Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Meja Jenerali Adolph Mutta ambaye
alimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman kwenda
kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Sweetbert Mkama ambaye alimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman kwenda kumjulia hali jijini Baltimore, Maryland, Jumapili Novemba 16, 2014.
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment