Picha ya marehemu Naseli enzi za uhai wake.
Mwili
wa marehemu Naseli Joshua Doriye ukitolewa nyumbani kwao Africana
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ibada ya mazishi.
Ibada ikiendelea nyumbani kwa marehemu Naseli Joshua Doriye Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Dar es salaam, Prof. Joshua Doriye ambaye ni mzazi wa Naseli akiwa na mkewe wakati wa ibada ya mazishi nyumbani kwake Africana.
Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Nasali.
Ni huzuni ilitawala wakati wa ibada ya kuaga mwili.
Wanafamilia.
Wanafamilia wakiimba nyimbo za kumsifu mungu.
Baadhi ya waombolezaji.
Ndugu jamaa na marafiki wakitoa hesima za mwisho.Kwa Picha Zaidi Bofya na Endelea......
0 comments:
Post a Comment