MARY TESTIMONY
je ulishawahi kuwa miongoni mwa wadada warembo ambaye unatamani uso wako uwe una mvuto lakini ngozi yako inakuangusha kutokana na kutokuwa na afya bora ingawa umejaribu kila aina ya kipodozi bila mafanikio,
Wala hauko peke yako kwavile hata mimi nilishakumbwa na hayo lakini nilipokutana na hii bidhaa ndio ikawa mkombozi wangu na sasa ninaweza kutoka ndani kwa confidence kwa vile nina uso wenye afya bora.
Je ungependa kufahamu zaidi jinsi gani na wewe au mtu unayemfahamu anaweza kufaidika na bidhaa hii?
Njoo tuzungumze kwa ushauri wa bure ili uweze kuwa mdada wa mjini unayejiamini maana reception ikiwa mbaya ni sheeeeedah!
#Chunusi Ni Sheeedah!!
#Jipende Mdada
#Mwanamke Reception
KWA MAELEZO ZAIDI AU KUJIPATIA BIDHAA YAKO WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA 0783 149 561. KARIBU SANA!
0 comments:
Post a Comment