SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, August 1, 2014

JOSE CHAMELEONE AFANYIWA MAPOKEZI YA NGUVU KWENYE UWANJA WA MWALIMU NYERERE

Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kufanya shoo ya nguvu kwenye Club ya Maisha  jijini Dar leo ijumaa na pia atafanya shoo mkoani Dodoma siku ya Jumamosi.
  Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone akiwa kwenye pozi na Hyperman HK (kushoto) wa maisha club mara tu ya kumpokea  msanii huyo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya alhamis saa mbili usiku.
 Jose Chameleone akipelekwa kwenye gari ili apelekwe Hotelin kwa mapumziko
 Akielekea kwenye gari yaani ni shidaaaaaaaa
Picha ya pamoja

0 comments:

Post a Comment