Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu
katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa
kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni
ya Julai 16, 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la
Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa
viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es
salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika
futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh
Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza
sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini
Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment