Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Neville iliyopo Mbokomu, Moshi Vijijini wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya walimu wao wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa ya kisasa yaliyofadhiliwa na wafadhili toka nchini Ufaransa wiki hii. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Ofisa Elimu wa Wilaya ya Moshi, Simon Sheshe na ilihudhuriwa na wabunge, Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Susan Lyimo na Mbunge Lucy Owenya pamoja na wafadhili hao kutoka Ufaransa chini ya uongozi wa Bibi Sarah Temba-Marchand na mumewe Bw. Gabriel Marchand ambao kwa pamoja wanaongoza Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko nchini Ufaransa (Education pour le Kilimanjaro - EKD).
Baadhi ya wafadhili hao wanaotoka katika Chama cha Elimu kwa Kilimanjaro huko nchini Ufaransa (Education pour le Kilimanjaro - EKD) wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wakiwa na zawadi zao walizopewa.
Hafla hiyo ikiendelea.
Wakiwa wameshika bango lenye Ujumbe.
NA MTAA KWA MTAA BLOG
NA MTAA KWA MTAA BLOG
0 comments:
Post a Comment