SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, May 11, 2014

MWENDESHA BODABODA ANUSURIKA KIFO KWA KUGONGWA NA GARI MKOANI MTWARA JIONI YA LEO

Wakazi wa Wa eneo la Bima Mkoani Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi ili kushuhudia ajali iliyohusisha gari kumgonga mwendesha bodaboda na kukikmbia.
Wakishuhudia Ajali
 Askari wa Usalama Barabarani (mwenye shati jeupe) akichukua maelezo ya mwendesha bodaboda ambae amegongwa na gari kisha kutoweka katika eneo la Bima lililopo Mtwara mjini.
NA LUKAZA BLOG