SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 15, 2014

PICHA:MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM.

 Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacoco jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyomba mbalimbali nchini.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi  akisisitiza jambo  kabla ya kuaza mkutano na wahariri wa vyombo vya habari na Mamlaka hiyo , wanaomsikiliza (wapili  kushoto) ni Inspekta Mwanadamizi  Idara ya Udhibiti  wa  Mamlaka ya Anga Tanzania, Mutesigwa Mango ,Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti  Masuala ya Anga Julius Kamhabwa  na Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia) Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Peacoco jijini Dar es Salaam,ukiwa na lengo la kutoa ufafanuzi  na taratibu za mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali nchini.
Inspekta  Mwanadamizi  Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango ,akifafanua jambo  kuhusiana na ajira za Maarubani  na wahudumu wa ndege  hapa nchini  wakati wa mkutano na wahariri wa vyombo vya habari uliohusu  kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo,Mkuatano huo ulifanyika katika hoteli ya Peacoco  jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi .Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti  Masuala ya Anga Julius Kamhabwa.
 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga, Julius Kamhabwe akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa  katikaMkutano wa Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam,ambao ulilenga kufafanunua kuhusu kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi  na  Inspekta  Mwanadamizi  Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango.

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene akifafanua  jambo  wakati alipohudhuria mkutano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga ulioandaliwa mahususi kwa Wahariri wa Vyaombo vya habari  jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia  wanaomsikiliza ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi  ,  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti Masuala ya Anga, Julius Kamhabwa.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi ( wapili kutoka kushoto) Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti  Masuala ya Anga Julius Kamhabwa  (wa pili kulia)  na Inspekta  Mwanadamizi  Idara ya udhibiti Maswala ya Anga,Mutesigwa Mango  (kushoto ) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi  wa Idara ya Habari ( Maelezo) Assah Mwambene, wakati alipokuwa akifafanua jambo  kwenye  mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga kwa Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam.
.Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya habari nchini na waadishi wa habari wakimsikiliza kwa makaini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Fadhili Manongi  (hayupo pichani) wakati alipokuwa akiwaelezea shughuli mbalimbali  ,Kanuni na taratibu za Mamlaka hiyo wakati wa mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.