Mama
Salma Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Ndugu Betty Mkwasa
mara baada ya kuwasili mjini Bahi kushiriki mkwenye sherehe ya uzinduzi
wa uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi tarehe 14.4.2014.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, Mama Salma Kikwete akiwapungia
wanafunzi na wananchi wa Bahi waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa
saratani ya shingo ya kizazi mjini hapo tarehe 14.4.2014.
Mama Salma Kikwete akipokewa kwa shangwe
Mama
Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mganga wa Macho wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Frank Magupa, wakati alipotembelea maonesho ya kitabibu
yaliyofanyika sambamba na upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa
wanawake wa wilayani Bahi tarehe 14.4.2014.
Mamia
ya wananchi wa Bahi wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa
zinatolewa na viongozi wa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi iliyofanyika huko Bahi, Mkoani Dodoma
Mamia
ya wananchi wa Bahi wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa
zinatolewa na viongozi wa wakati wa sherehe ya uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi iliyofanyika huko Bahi, Mkoani Dodoma
Naibu
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Kebwe Staphen Kebwe akitoa salamu
hotuba kwa niaba ya wizara ya Afya wakati wa uzinduzi wa upimaji wa
saratani ya shingo ya kizazi huko wilayani Bahi.
Rais
Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi
muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya
shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
Rais
Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi
muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya
shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma
Mwenyekiti
wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa
kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wa
Wilaya ya Bah
Mama
Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali vinavyotumika na madaktari
wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama wana maambukizi ya
saratani ya shingo ya kizazi wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo wilayani
Bahi
Mama
Salma Kikwete akijumuika na wacheza ngoma na wananchi mbalimbali wa
wilaya ya Bahi mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya
shingo ya kizazi kwa akinamama.
Kwaya ikitoa burudani
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Shirika la
Utangazaji Tanzania (TBC1) Bwana Hamis Mwege kwa kazi kubwa ya
kuelimisha umma kuhusu kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya
kizazi kwa wanawake hapa nchini. Vyombo vingine vilivyopata cheti ni
Channel Ten na ITV.
Mama
Salma Kikwete akiwapungia wanafunzi na wananchi wa Bahi waliohudhuria
sherehe ya uzinduzi wa saratani ya shingo ya kizazi Picha na John Lukuwi