SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, March 3, 2014

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli-CCM Edward Lowassa Ashiriki Mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera

   Waziri mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa akisalimiana na mkuu wa zamani wa Chuo kikuu cha dar es salaam balozi Nicolaus Kuhanga huku Makamu mkuu wa Chuo hicho hivi sasa Profesa Rwekaza Mukandala(katikati) akisikiliza,wakati wa mazishi ya mkuu wa Chuo hicho balozi Fulgence Kazaura.
 Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu balozi Fulgence Kazaura kabla ya kuzikwa kijijini Mganda wilaya ya Misenyi Mkoani Kagera juzi Jumamosi
  Lowassa akimfariji mjane wa marehemu.
 Rais Dr Jakaya KIkwete, pamoja waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na viongozi wengine katika mazishi ya balozi Fulgence Kazaura  huko Misenyi Kagera

0 comments:

Post a Comment