Mfanyakazi
wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink Maria Chundu akiteta jambo na
Bi.Khadija Sultan (78) wa kituo cha kulelea wazee cha Tushikamane
Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala mara walipotembelea kituo
hicho kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo
hicho.Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi ,
mchele na mafuta ya kupikia chakula vyote vyenye thamani ya zaidi ya
shilingi milioni 2.5.
Mhasibu
wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Joyna Mwafute akimlisha
chakula mmoja wa wazee waishio katika kituo cha Tushikamane Pamoja
Foundation kilichopo Yombo kilakala Bi.Tabu Juma( 65) wakati wafanyakazi
wa kampuni hiyo walipofika kituoni hapo kutoa misaada wa vyakula,mafuta
ya kula,blanketi na mashuka vyote vyenye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni 2.5.
Meneja
Mafunzo na Uendelezaji wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink,Maxine
Makenzie, akimpatia soda mmoja wa wazee wasiojiweza wanaotunzwa katika
kituo cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo kilakala jijini
Dar es Salaam,wakati wafanyakazi wa Kampuni hiyo walipofika kituoni hapo
kutoa msaada wa Vitu mbalimbali vikiwemo mashuka,blanketi na vyakula
mbalimbali kwa wazee 45 waishio katika kituo hicho.
Meneja
Mafunzo na Uendelezaji wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink,Maxine
Makenzie,akihudumia chakula baadhi ya wazee wasiojiweza wanaoishi
katika kituo cha Tushikamane Pamoja kilichopo Yombo Kilakala jijinin Dar
es Salaam,wakati wafanyakazi wa Kampuni ya hiyo walipokwenda kutoa
msaada wa vitu mbalimbali kama vile Mashuka,blanketi na vyakula
mbalimbali.
Mhasibu
wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Joyna Mwafute akisalimiana
na Bi,Julieth Mchanga (80) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo
walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo
hicho cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala jijini
Dar es Salaam.Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa vikiwemo mashuka
,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni 2.5.
Mfanyakazi
wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha
shuka baada ya kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni
mwa wazee waliopo chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati
wafanyakazi wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa
wazee hao wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini
Dar es Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka
,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni 2.5. Kushoto anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa kituo
hicho Rose Mwapachu.
Meneja
Mikataba wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Taddious Theodore
akimkabidhi msaada wa Shuka Julieth Mchanga kwa niaba ya wazee wenzake
45, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walitembelea kituoni hapo kutoa
misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika kituo cha Tushikamane
Pamoja Foundation Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, vitu mbalimbali
vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia
chakula vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink wakiwa katika
picha ya pamoja na wazee wasiojiweza wa kituo cha Tushikamane Pamoja
Foundation ilichopo Yombo Kilakala wakati walipokwenda kuwapa msaada wa
vitu mbalimbali vikiwemo mashuka, blanketi,vyote vyenye thamani ya zaidi
ya shilingi Milioni 2.5.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink wakiwa na mizigo mbalimbali
ya vyakula wakati walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee
wasiojiweza katika eneo la Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam,
wanaolelewa na Kituo cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo
Kilakala jijini Dar es Salaam. vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo
mashuka ,blanketi , mchere na mafuta ya chakula vyenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni 2.5.
Baadhi
ya wazee wanaoishi na kutunzwa katika Kituo cha Tushikamane Pamoja
Foundation kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam,wakicheza
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Uwakala wa ajira ya
Erolink walipowatembelea wazee hao mahususi kwa kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kama vile mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia
chakula vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.
NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment