Daktari
akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati
alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo jana. Kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wamchoma
kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la
Kijiji cha Tagamenda kwenye kampeini za Uchaguzi
Mdogo wa Jimbo la Kalenga,
Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la
Kijiji cha Tagamenda Akionyesha jeraha lake maeneo ya kifuani.
Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la
Kijiji cha Tagamenda akiwa amelazwa baada ya kushonwa.
CHANZO: HAKI NGOWI
0 comments:
Post a Comment