
===***===
Mkazi wa Buguruni, Dar es Salaam (Jina linahifadhiwa) amedaiwa
kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
akiwa na kete 61 za dawa za kulevya aina ya Cocaine.
Akizungumza jana, Kamanda wa Kitengo cha Kupambana
na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa alisema mtuhumiwa aliwasili JNIA
akitokea Brazil akipitia Ethiopia akiwa amepanda ndege ya Shirika la
Ethiopia.
Alisema Machi 17, mwaka huu saa 8:25 usiku,
mtuhumiwa akiwa na hati ya kusafiria AB362172 ya Tanzania, alishukiwa na
polisi kuwa amemeza dawa za kulevya.
Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.....