Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka akiwasha gari ya kuinulia mizigo focal lift
kama ishara ya kupokea moja ya magari mawili yaliyokabidhiwa na Shirika
la Transaid la nchini Uingereza kwa Chuo cha Taifa cha Usafirshaji
(NIT), leo asubuhi. Anayeshuhudia ni Mkuu wa Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa
Mkurugenzi wa Mradi ya Usalama
Barabarani wa Shirika la Transaid la Nchini Uingereza, Mr. Neil Rettie
(mwenye tai ya blue) akimkabidhi funguo za gari aina ya Iveco kwa Katibu
Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya mafunzo
ya Udereva yanayotolewa na Chuo Cha Taifa Cha Usafirhsaji (NIT), Hafla
hiyo ilifanyika katika viwanja vya chuo hicho leo Asubuhi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiwasha gari aina ya Folk Lift
lililokabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usarifshaji (NIT), kwa ajili ya
wanafunzi wataochukua mafunzo ya udereva chuoni hapo. Magari hayo
yamekabidhiwa leo asubuhi katika viwanja vya Chuo hicho.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Chuo cha
Taifa cha Usafirishaji (NIT), wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo
pichani), wakati wa hafla fupi ya kukabidhi magari mawili kwa ajili ya
kufundishia mafunzo ya udereva chuoni hapo, magari hayo yalimekabidhiwa
leo asubuhi na Shirika la Transaid la nchini Uingereza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,
Dkt. Shaaban Mwinjaka (kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha
Usafirishaji (NIT), Dkt. Zakaria Mganilwa ofisini kwake kabla ya
kupokea magari mawili ambayo yamekabidhiwa kwa chuo hicho na Shirika la
Transaid la nchini Uingereza, hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika
leo asubuhi katika viwanja vya NIT.Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi
0 comments:
Post a Comment