SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 12, 2014

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Audhuria Msiba Wa Waziri wa Kilimo na Ushirika Serekali ya Awamu ya Kwanza na Mbunge wa Zamani wa Karatu na Mzee Patrick Qorro

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu comrade Mbunge  wa zamani wa Karatu comrade Patrick Qorro
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji leo
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.


 Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mh Benjamin Mkapa akisalimiana an waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Mzee Patrick Qorro Ada estate jijini dar es salaam leo
   Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Msataafu na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa wakiondoka eneo la msiba.

0 comments:

Post a Comment