SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 12, 2014

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 UWANJA WA SOKOINE MBEYA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya  Ahmed  Msangi  akikagua timu ya Mbeya city

JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya  Ahmed  Msangi  akikagua timu ya Mtibwa

 Mbeya City 

Mtibwa Sugar 

Mtanange uwanjani
Hekaheka lango la Mtibwa

Lalalalal-lallaaaaa-laaaalaaaaaaaaaaaa.... anadaka pale

WADAU  WA MICHEZO  WOTE  KUTOKA  MIKOA  YA  NYANDA  ZA JUU KUSINI IRINGA,RUVUMA,RUKWA,KATAVI NA  NJOMBE PAMOJA  NA  WALE WAPENZI WA  MICHEZO  TUUNGANE KUICHANGIA TIMU YA  MBEYA CITY TIME ILIYOBADILI SOKA LA SIMBA NA  YANGA
Na Mbeya yetu

0 comments:

Post a Comment