SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 12, 2014

Kamati Kuu ya CCM Yamteua Mtoto wa Aliyekua Waziri wa Fedha na Uchumi Marehemu Dk.William Mgimwa,Ndugu Godfrey William Mgimwa Kuwa Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga, Iringa

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge.Picha na Bashir Nkoromo

0 comments:

Post a Comment