SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, February 17, 2014

Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Achukua Fomu Rasmi

 Picha juu na Chini ni  Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega akiongozwa na pikipiki na wapenzi na wafuasi mbalimbali wa chadema kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo leo
Mgombea wa Chadema Kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kalenga mkoani Iringa Grace Tendega Akipokea fomu kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Iringa,Pedenciana Kisaka leo.

0 comments:

Post a Comment