SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, February 16, 2014

La Liga News: Mabomu ya machozi yasimamisha mchezo wa Villarreal dhidi ya Celta Vigo...angalia hapa picha na video ya tukio hilo

Mchezo wa ligi kuu Uhispania kati ya Villarreal ambao walikuwa wanakuwa katika uwanja wa nyumbani kukipiga dhidi ya Celta Vigo uliahirishwa dakika ya 88 baada ya mabomu ya machozi kurushwa uwanjani.
Celta Vigo walikuwa wanaongoza kwa 1-0 katika dimba la El Madrigal wakati ambapo mabomu ya machozi yalianza kurushwa.

Mwamuzi David Fernandez alisimamisha mchezo na kuwaambia achezaji watoke uwanjani wakati ambapo mashabiki wengi wao wakifunika macho yao wakianza kukimbizana.
Mchezo huo ulianza tena baada ya dakika 20 ambapo Celta walishinda 2-0.
Flashpoint: Villarreal's forward Jonathan Pereira kicks a smoke bomb thrown onto the pitch at El Madrigal

Stamp it out: Pereira attempts to extinguish the missile

In the smoke: Villarreal's Jonathan Pereira runs to kick a tear gas canister during the match with Celta Vigo at El Madrigal

Unsavoury scenes: Villarreal's Tomas Pina shields his mouth after a tear gas canister was thrown on to the pitch during the match with Celta Vigo




Covering up: Stewards and security at the Villarreal match against Celta Vigo try to stop breathing in the tear gas 
Take cover: Tomas Pina reacts after a tear gas canister is thrown at Villarreal

Painful: Celta goalkeeper Yoel Rodríguez rubs his eyes after a canister of tear gas was thrown on to the pitch

Making an exit: Fans inside El Madrigal try to make their way out after a canister of tear was thrown on to the pitch

Taking their leave: Fans leave El Madrigal after a canister of tear gas was thrown on to the pitch

Effects: A Villarreal fan heads for the exit after the cannister was set off

Anger: Villarreal president Fernando Roig (right) stands beside policeman after the incident

CHANZO: MATUKIOTZ.COM

0 comments:

Post a Comment