SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, February 16, 2014

MAMA ANAYEMTUMIA MTOTO WAKE WA MIAKA 8 KUPATA PESA ZA MATUMIZI.

Ili kupata kujua yote na mkasa mzima usikose kutazama Joyce Kiria Wanawake Live leo saa tatu kamili usiku EATV Pekee!!!!!
Huyu ndio mama ambaye amemuajiri mtoto wa miaka 8 kama mfanyakazi wake wa ndani.
Nikiwa kituo cha polisi, huyu mama akiandikisha maelezo yake.
Mama Mzazi wa mtoto Loveness, hapa ni nyumbani kwake Mororgoro.
Joyce Kiria Wanawake Live, Mjini mpaka Vijijini.. Katika kijiji cha Kiloka Morogoro.
Nikiwa nafanya mahojiano na Diwani wa eneo hilo

0 comments:

Post a Comment