Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akizindua Operesheni M4C Pamoja Daima singida
Umati wa watu ikishangilia ukishuhudia wakati helcopter ikitua bukoba na mwenyekiti
wa chadema na mbunge wa hai freeman mbowe alipotua kuzindua operesheni
M4C pamoja daima
Mwenyekiti
wa chadema na mbunge wa hai freeman mbowe akimvisha rasmi bendera ya
chadema mmoja kati ya wafuasi wa ccm waliojiunga na chadema bukoba
Katibu mkuu wa chadema Dr Wilbrod Slaa akijianda kutua na helikopta ya chadema mkoani mbeya jana
Katibu mkuu wa chadema Dr Wilbrod Slaa akijianda kutua na helikopta ya
chadema makambako pamoja na mvua kubwa iliyokua ikinyesha wananchi wa
makambako
walijitokeza kwa wingi sana, kumsikiliza katibu mkuu wa chadema dr slaa
Katibu mkuu wa chadema Dr Wilbrod Slaa(kulia kwenye jukwaa) akihutubia mamia ya wapenzi na
wanachama wa chadema chimala muda mfupi baada ya kutua na helikopta
ya chadema pamoja na mvua kubwa iliyokua ikinyesha wananchi wa
makambako
walijitokeza kwa wingi sana, kumsikiliza katibu mkuu wa chadema dr slaa
Katibu mkuu wa chadema Dr Wilbrod Slaa akihutubia mami ya wapenzi na
wanachama wa chadema makambako muda mfupi baada ya kutua na helikopta
ya chadema pamoja na mvua kubwa iliyokua ikinyesha wananchi wa
makambako
walijitokeza kwa wingi sana, kumsikiliza katibu mkuu wa chadema dr slaa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia
na Mendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwasili katika mji wa
Chimara mkoani Mbeya, ambako alifanya mkutano wa hadhara wa Operesheni
M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Mbunge
wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akihutubia mkutano wa hadhara
ikiwa ni mfululizo wa mikutano ya Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika katika mji wa Chamara mkoani Mbeya jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwahutubia wananchi wa mji wa Makmabako, katika mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana.
Wananchi
wa mji wa Njombe na vitongoji wakiwa katika mkutano wa hadhara wa
Operesehni M4C Pamoja Daima, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), uliofanyika mjini Njombe jana.
Aliyekuwa
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Isitu, Chimara mkoani
Mbeya, Felix Komba akizungumza katika mkutano wa Operesehni M4C Pamoja
Daima mbele ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, baada ya katibu huyo kujiunga na Chadema
wakati wa mkutano huo uliofanyika Chimara jana
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cadema), Dk. Willibrod Slaa
akimnadi mgombea udiwani katika Kata ya Njombe Mjini kupitia chama
hicho, Agrey Mtamba, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Njombe jana.
Baadhi
ya wananchi wa mji wa Mbeya wakiwa wabeba mabango yenye ujumbe
mbalimbali, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima
wa Chadema, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lwanda Nzovwe mjini Mbeya jana
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph
Mbilinyi ‘Sugu’, akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbeya na vitongiji
vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe jana.
Mbunge wa Mbozi Mashariki, Davi
Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa mji wa Mbeya, katika mkutano
wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima uliofanyika kwenye Uwanja wa
Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwa amembeba mtoto Sheila
Shukurani (3), kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara matika mji wa
Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakiondoka kwa
shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya jana.
Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akizindua Operesheni M4C Pamoja Daima singida
Mbunge wa singida magharibi wakihutubia mamia ya wanachama wa chadema karatu wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima
Mbunge
wa arumeru mashariki joshua nassari akihutumia mamia ya wapenzi wa
chadema wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima ya chadema
Ngarenanyuki Arumeru Mashariki
M/Kiti
wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mh. John Hecheakiunguruma
kwenye uzunduzi wa operesheni pamoja daima ya chadema Ngarenanyuki
Arumeru Mashariki mbele ya mamia wa wanachama
Mbunge
singida magharibi tundu lissu akipokea kadi za wanachama wa ccm
waliyoamua kujiunga na chadema rasmi wakati wa uzinduzi wa operesheni
pamoja daima iramba singida
Mbunge
wa Ubungo-John Mnyika(kushoto)na Mbunge wa arusha Godbless
lema(katikati) wakipungia wananchi na wapenzi wa chadema muda mfupi
baada ya kutua kigoma kaskazini Mkongoro
Mwenyekiti wa chadema na mbunge wa hai akipokea kadi mbalimbali kutoka kwa wanachama wa CCM waliamua kujiunga na chadema rasmi
Mbunge wa ubungo john mnyika akihutubia mamia ya wanapenzi na wanachama
wa chadema wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima
Makamu mwenyekiti wa chadema zanzibar Said Issa Mohamed akiwa ndani ya chopa ya chadema muda mfupi kabla ya kutua bukoba kuzindua operesheni M4C pamoja Daima
Mbunge
wa Arusha mjini(kulia)Godbless Lema na Mbunge wa Ubungo John Mnyika
wakiwa kwenye chopa helikopta ya chadema wakielekea kwenye uzinduzi wa
Operesheni M4C Pamoja Daima Kilelema
Viongozi
wa chadema wakiwa Kigoma Kaskazini Mkongoro muda mfupi baada ya kutua
na chopa kuzindua operesheni pamoja daima.Picha Zote na Chadema
0 comments:
Post a Comment