Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza
na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini
Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao
iliyomalizika leo, kuhusu
mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko
ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa
kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa
gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani
hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake
kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni
njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China.(PICHA NA
KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa
upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati
kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya
biashara hao iliyomalizika leo
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania kulia akiwanaOfisa
mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki
wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni
hiyo China Bwana Cheng Wang Wu
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia madsa katika semina hiyo .
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.
0 comments:
Post a Comment