Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike .
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike .
Mgeni
rasmi na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri
akikata keki maalumu ya kuchangisha fedha zinazowasaidia baadhi ya
wanafunzi wanaokubwa na matatizo ambayo familia zao hushindwa kuwasaidia
.
Baadhi
ya wanafunzi wa kike waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha
pili suleni hapo walizawadiwa katika hafla hiyo. Mgeni rasmi wa na
Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia Shauri akimpa
zawadi mmoja wa wanafunzi hao.
Mgeni
rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia
Shauri akilishwa keki na mmoja wa washiriki katika maadhimisho hayo.
Mgeni
rasmi wa na Mwakilishi kutoka Kituo cha Maendeleo ya Uchumi, Rukia
Shauri (kulia) akilishwa keki na Mkufunzi Chuo cha Mafunzo ya Jinsia
(GTI) cha TGNP, Rashida Shariff kwenye hafla hiyo.
Wanafunzi wa Kidato cha Tano Loyola, wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kulishwa keki ya uchangishaji fedha kwenye hafla hiyo.
Mwakilishi
wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI) cha TGNP, Rashida Shariff kulia
akizungumza na vyombo vya habari kwenye maadhimisho hayo. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Shuleni hapo
0 comments:
Post a Comment