SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, December 11, 2013

Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Taarifa Kwa Umma Kutoka Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe:Mwanasheria wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb),

 MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo
 MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Albert Msando
Samson Mwigamba
-----
MWANASHERIA wa Mhe Zitto Zuberi Kabwe (Mb), Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, Ndugu Albert Msando, atazungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Hoteli ya Serena kuanzia saa nne na nusu asubuhi (saa 4.30 asubuhi).
 
Dhima ya mkutano huu itakuwa kutoa ufafafunuzi juu  ya mashitaka 11 na majibu yake  ambayo Mhe. Zitto Kabwe  na washitakiwa wenzake walipewa na Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, katika kikao hiki Ndugu Msando, kwa niaba ya wateja wake, ataeleza hatua ambazo wateja wake wanazichukua ndani ya chama katika kuhakikisha kwamba mgogoro uliopo unakwisha kwa amani na haraka iwezekanavyo bila kuleta athari zaidi kwa chama. 
 
Tunatanguliza shukrani na tunaomba waalikwa wazingatie muda.
 
Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe,
Jumanne, 10 Desemba 2013
Dar es Salaam

0 comments:

Post a Comment