SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, December 17, 2013

Rais Jakaya Kikwete Afungua Rasmi Mkutano wa Tanzania National Business Council(TNBC)

 Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Dkt. Reginald Mengi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
 Rais Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Tanzania National Business Council muda mfupi kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana
.Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment