SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, November 6, 2013

NSSF NA BUMACO ZAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KILIMANJARO.



Meneja wa NSSF mkoa wa Kilimanjaro Delphina Masika akizungumza jambo
wakati wa warsha ya viongozi wa vyama vya ushirika na uongozi mfuko
huo iliyoandaliwa na kampuni ya BUMACO.

 Afisa utekelezaji wa NSSF mkoa wa Kilimanjaro Daudi Mwangole
akizungumza na viongozi wa vyama vya ushirika(hawako pichani) wakati
wa warsha hiyo. 


 Mshauri wa mambo ya mikopo midogo wa kampuni ya BUMACO ,Michael
Kimemeta akizungumza jambo wakati wa warsha ya viongozi wa vyama vya
ushirika na uongozi wa NSSF.
 Mshauri wa mambo ya utawala na maendeleo wa kampuni ya BUMACO Dk
Aikande Kwayu akizungumza jambo wakati wa warsha ya  viongozi wa vyama vya ushirika na uongozi mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF
 Meneja wa NSSF mkoa wa Kilimanjaro Delphina Masika akimuelekeza jambo afisa utekelezaji wa NSSF Daudi Mwangole wakati wa warsha ya viongozi wa vyama vya ushirika.
  Viongozi wa vyama vya Ushirika  mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelzo
yaliyokuwa yakitolewa na maofisa wa mfuko wa hifadhi ya jamii mkoa wa
Kilimanjaro NSSF pamoja na maofisa wa kampuni ya BUMACO ambao ndio
waliandaa warsha hiyo. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

0 comments:

Post a Comment