BABA MZAZI WA MAREHEMU KASSIM MZEE SAID ATHUMANI MBOYA, MIAKA 60,AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI WA MBEYA YETU KABLA YA KUUCHUKUA MWILI WA KASSIM
MWILI WA MARHEMU KASSIM KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA DSM
MOJA YA MAAFISA WA POLISI AKIANDIKA MAELEZO MAFUPI TOKA KWA MZAZI WA KASSIMU KABLA YA KUKABIDHIWA MWILI HUO NA JESHI LA POLISI
BABA MZAZI WA MAREHEMU KASSIM MZEE SAID ATHUMANI MBOYA MWENYE KOTI JEUSI AKIBEBA MWILI WA MWANAE HUKU AKISAIDIWA NA BAADHI YA WALIOFIKA KUMSAIDIA MZEE HUYO
SAFARI YA KUELEKEA DSM YAANZA
BAADA YA UTAMBUZI NDUGU HAO WA MAREHEMU WAMEMUELEZEA MAREHEMU NDUGU YAO KUWA ALIKUWA ANAITWA KASSIM SAIDI MBOYA, MIAKA 36, MPOGORO, MKULIMA, MKAZI WA MWANANYAMALA-MCHANGANI –DSM.
MAREHEMU ALIKUWA ANASAFIRI KUTOKA DSM KUELEKEA LILONGWE NCHINI MALAWI AKIWA KATIKAM BASI LA TAQWA LENYE NAMBA ZA USAJIRI T.319 BLZ AINA YA NISSAN AKIWA NA HATI YA KUSAFIRIA NAMBA – AB 051010 PIA AKIWA NA BEGI DOGO LENYE SURUALI MOJA AINA YA JEANS, T-SHIRT MOJA NYEUSI, RABA JOZI MOJA RANGI NYEKUNDU, MKATE MMOJA, MKOBA MDOGO WA KIUNONI, VACCINATION CARD MBILI ZA KINGA YA UGONJWA WA MANJANO, RAND MBILI SARAFU ZA AFRIKA YA KUSINI NA MIFUKO SITA [06] YA RAMBO RANGI NYEUSI.
WAHUSIKA WA GARI WALITOA TAARIFA KITUO CHA POLISI AMBAPO MAREHEMU ALICHUKULIWA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA KWA MATIBABU. HATA HIVYO KABLA HAJAPATA MATIBABU ALIFARIKI DUNIA.
MWILI WA MAREHEMU ULISAFIRISHWA HADI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NA KUFANYIWA UPASUAJI AMBAPO ZILIPATIKANA PIPI 65 ZA DAWA ZIDHANIWAZO KUWA ZA KULEVYA ZIKIWA TUMBONI KWA MAREHEMU NA MOJA KATI YA PIPI HIZO IKIWA IMEPASUKA, PIPI HIZO ZINA UZITO WA KILO 1 NA GRAM 140.TARATIBU ZINAFANYWA ILI DAWA HIZO ZIPELEKWE OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI KWA UCHUNGUZI WA KITAALAM IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA AINA YA MADAWA HAYO.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA KWANI NI KINYUME CHA SHERIA, NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI PIA INAPUNGUZA NGUVU KAZI YA TAIFA.
Signed by:
[DIWANI ATHUMANI- ACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
Picha na Mbeya yetu

MNAMO TAREHE 11.11.2013 MAJIRA YA SAA 14:10HRS HUKO KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA JIJI NA MKOA WA MBEYA. JESHI LA POLISI LILIWAKABIDHI MWILI WA MAREHEMU KASSIM SAIDI MBOYA NDUGU ZAKE WAWILI AMBAO NI BABA WA MAREHEMU AITWAE SAID ATHUMANI MBOYA, MIAKA 60, MPOGORO, MKULIMA, MKAZI WA MWANANYAMALA – MCHANGANI – DSM NA MDOGO WAKE NA MAREHEMU AITWAE HASSAN SAID MBOYA, MIAKA 28, MPOGORO, TINGO KAMPUNI YA MOHAMED ENTERPRISES DSM, MKAZI WA MWANANYAMALA MCHANGANI –DSM.
BAADA YA UTAMBUZI NDUGU HAO WA MAREHEMU WAMEMUELEZEA MAREHEMU NDUGU YAO KUWA ALIKUWA ANAITWA KASSIM SAIDI MBOYA, MIAKA 36, MPOGORO, MKULIMA, MKAZI WA MWANANYAMALA-MCHANGANI –DSM.
AWALI MNAMO TAREHE 07.11.2013 MAJIRA YA SAA 11: 00HRS HUKO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA. KASSIM SAIDI MBOYA, ALIFARIKI DUNIA AKIWA KATIKA TARATIBU ZA KUPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO.
MAREHEMU ALIKUWA ANASAFIRI KUTOKA DSM KUELEKEA LILONGWE NCHINI MALAWI AKIWA KATIKAM BASI LA TAQWA LENYE NAMBA ZA USAJIRI T.319 BLZ AINA YA NISSAN AKIWA NA HATI YA KUSAFIRIA NAMBA – AB 051010 PIA AKIWA NA BEGI DOGO LENYE SURUALI MOJA AINA YA JEANS, T-SHIRT MOJA NYEUSI, RABA JOZI MOJA RANGI NYEKUNDU, MKATE MMOJA, MKOBA MDOGO WA KIUNONI, VACCINATION CARD MBILI ZA KINGA YA UGONJWA WA MANJANO, RAND MBILI SARAFU ZA AFRIKA YA KUSINI NA MIFUKO SITA [06] YA RAMBO RANGI NYEUSI.
BASI HILO BAADA YA KUFIKA MPAKANI KASUMULU NA ABIRIA KUSHUKA KUTOKA KWENYE GARI HILO NA KUANZA KUFANYA TARATIBU ZA KUVUKA MPAKA KUINGIA NCHINI MALAWI, MAREHEMU ALIBAKI NDANI YA GARI HUKU HALI YAKE YA KIAFYA IKIZIDI KUDHOOFIKA.
WAHUSIKA WA GARI WALITOA TAARIFA KITUO CHA POLISI AMBAPO MAREHEMU ALICHUKULIWA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA KWA MATIBABU. HATA HIVYO KABLA HAJAPATA MATIBABU ALIFARIKI DUNIA.
MWILI WA MAREHEMU ULISAFIRISHWA HADI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NA KUFANYIWA UPASUAJI AMBAPO ZILIPATIKANA PIPI 65 ZA DAWA ZIDHANIWAZO KUWA ZA KULEVYA ZIKIWA TUMBONI KWA MAREHEMU NA MOJA KATI YA PIPI HIZO IKIWA IMEPASUKA, PIPI HIZO ZINA UZITO WA KILO 1 NA GRAM 140.TARATIBU ZINAFANYWA ILI DAWA HIZO ZIPELEKWE OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI KWA UCHUNGUZI WA KITAALAM IKIWA NI PAMOJA NA KUJUA AINA YA MADAWA HAYO.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA KWANI NI KINYUME CHA SHERIA, NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI PIA INAPUNGUZA NGUVU KAZI YA TAIFA.
Signed by:
[DIWANI ATHUMANI- ACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
Picha na Mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment