SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, September 18, 2013

Pinda akutana na Balozi wa China nchini na viongozi wa kampuni ya HUAWEI

IMG_0018
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisikiliza maelezo kuhusu picha ya watawala wa asili wa China kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huwawei Technologies nchini, Bw. Bruce Zhanga  na Mkurugenzi Mkuu wa kambuni hiyo, Bw. Kenneth Luo (kulia) katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 17, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0038
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa China nchini, Bw. Lu  Youqing  (kushoto kwake) na ujumbe wake , Ofisini kwake jijini Dar. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
IMG_0041
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa China Nchini, Bw. Lu Youqing, Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
IMG_0026
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Balozi wa China nchini,  Lu Youqing  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment