Mwiinjilisti mwanamke kutoka
nchini Nigeria ambaye ana kibali cha kazi ya
uinjilisti katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko
Sinza jijini Dares Salaam , Blessing Dangana, anayedaiwa kuwatunza
raia wa Nigeria watano ambao wanatoa huduma hiyo bila kibali maalum
akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya
kufikishwa mahakamani hapo jana.
Baadhi
ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke mwenye
kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life
Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , wakitoka nje ya
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani
hapo huku wengine wa kijificha sura zao.
Gari
la Idara ya Uhamiaji likiwa limebeba baadhi ya raia wa Nigeria
wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke mwenye mwenye kibali cha
kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life
Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam hao mara baada ya
kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dares Salaam.
Baadhi
ya vijana wanaodai kuwa wanatoka mkoa wa Kigoma wakiwa wajaza fomu
ambao taarifa zao zinaendelea kuchunguzwa kama kweli ni Watanzania
wakiwa katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.
(Picha zote na
Magreth Kinabo- Maelezo).




0 comments:
Post a Comment