SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, June 5, 2013

WAKULIMA WACHOMA NA KUBOMOA NYUMBA MOROGORO


Wakulima wenye hasira kali wamechoma moto na kubomoa nyumba katika eneo la Mgulu wa ndege na Msembe Kihonda manispaa ya Morogoro wakilalamikia mahindi kufyekwa yakiwa shambani kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya wakulima na halmashauri ya manispaa ya Morogoro.

0 comments:

Post a Comment