SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, June 1, 2013

M TO THE P ANAENDELEA VIZURI NCHINI AFRIKA KUSINI-MILLARD AYO

Msanii M To The P aliyepelekwa hospitali pamoja na marehemu Albert Mangwea, kwa sasa anaendelea vizuri na matibabu kama anavyoonekana kwenye picha katika hospitali ya Helen Joseph huko nchini Afrika ya Kusini. 
                                            (Picha kwa hisani ya Clouds FM).
Millard Ayo akiongea na M To The P alipomtembelea msanii huyo hospitalini, M To The P anasema anaendelea vizuri, 
SIkiliza  Hapa:-

0 comments:

Post a Comment