SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 10, 2013

Zaidi ya Kaya 30 hazina makazi baada ya mvua kubomoa nyumba zao wilayani Butiama-Mara

CHANZO: ITV
Zaidi ya kaya 30 zenye wakazi wanaokadiriwa kufikia 80 katika kijiji cha Buraga kata ya Bukumi wilayani butiama mkoani Mara,hazina makazi baada ya mvua kubwa kunyesha na kubomoa nyumba zao huku vyakula pia vikisombwa na maji ya mvua hiyo.

0 comments:

Post a Comment