SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 30, 2013

Westminister Abbey Nchini Uingereza Wafanya Misa Maalum ya Kuiombea Tanzania

Wadau mbalimbali Kutoka kushoto Abu Faraji, Caroline Chipeta, Mirium Mungula na mdau baada ya ibada
 Wadau wa serengeti freight
 
  Bendara yetu ikipepea
 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe akisalimiana na kiongozi wa kanisani la westmaster abby
 Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe akiwa na Frank Eyembe
Wadau mbalimbali waliyojitokeza kwenye ibada
****
Salam,

Urban Pulse Creative inakuletea taswira kutoka Westminister Abbey jijini London katika misa maalum ya kuombea amani nchi yetu ya Tanzania siku ya muungano iliyofanyika ijumaa tarehe 26.4.13.

Balozi wetu Mh Peter Kallaghe, maofisa kutoka ubalozini na baadhi ya watanzania waishio nchini Uingereza walijumuika pamoja kuhudhuria ibada hii maalum na raia wengine kutoka nchi mbalimbali.  Ibada ilianza kwa jumuiya ya Abbey kuwaombea  watanzania wote, viongozi pamoja na wanadiplomasia wote waliopo duniani na kwa ajili ya kazi maalum ya Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WABARIKI WATANZANIA

Asanteni,

Urban Pulse Creative

0 comments:

Post a Comment