SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 30, 2013

LADY JAYDEE KUADHIMISHA MIAKA 13 YA MUZIKI


KATIKA kuadhimisha miaka 13 tangu aanze shughuli za muziki, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ atafanya sherehe maalum siku ya Ijumaa 30 Mei, mwaka huu jijini Dar es Salaam ambapo pia atazindua albam yake inayoitwa ‘Nothing But the Truth’. Sherehe hizo ambazo zimedhaminiwa na East Africa Televisheni ya jijini Dar zitafanyika mahali ambapo patatangazwa baadaye.
NA GPL.

0 comments:

Post a Comment