SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 12, 2013

Taswira Mbalimbali Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma Leo


 WaziriMkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassankwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (wapili kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum (kushoto)  na Agustino Masele wa Mbogwe (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment