Mayor wa Wilaya ya District of Columbia Vincent C. Gray akitembea katika gwaride la Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC Nchini Marekani.
(Picha Zote Na swahilivilla.blogspot.com)
****
MAMIA ya wanachi kutoka wilaya ya District of Columbia wamejitokeza kwa wingi Jijini Washington DC kwaajili ya Parade ya Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa hapa jijini Washington DC.
Wilaya ya Columbia wanasherehekea kila mwaka ifikapo mwenzi wa Aprili 16 kama Siku ya Emancipation ambapo wanaadhimisha taifa walipigana vita kwa ajili ya uhuru na haki sawa chini ya sheria," DC Meya Vincent Gray alisema kwenye taarifa yake.
"Katika mazingira ya kisasa, Emancipation ni Siku pia inatoa muda wa kutafakari juu ya mapambano ya Wilaya ya sasa ya bajeti kwa uhuru na uwakilishi kamili katika Congress."
Ukombozi wa Watumwa ni Siku rasmi ya likizo kwa umma jijini Washington DC.
Ni sherehe kwa gwaride, kuheshimu maadhimisho ya kusainiwa kwa DC Compensated Emancipation Act, which freed zaidi ya 3100 watumwa kuishia katika utumwa hapa District of Columbia Aprili 16, 1862. Viongozi wa umma, shule na vikundi vya jamii kuja pamoja familia na marafiki kwa ajili ya tukio hilo lilifanyika Juzi Jumanne April 16, 2013
Askari waliovalia magwanda ya Civil War wakipita katika gwaride katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC
Mama aliejifunga Minyororo akionyesha jinsi watumwa walivyo henyeka, katika gwaride la Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC Nchini Marekani.
Kina Mama waliovalia mavazi Quality ya kihistoria ya Civil War katika enzi za kitumwa wakitembea kwa madaha katika gwaride la Maadhimisho ya Ukombozi wa Watumwa, Wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW
Free DC! Statehood: kama sign zinavyoonyesha katika gwaride la maazimisho ya Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa yaliofanyika Siku ya Jumanne April 16 Jijini Washington DC
Baadhi ya wananchi wa DC walivyotokelezeaa na ujumbe wa Yes We Can kuunga mkono The Emancipation Day Parade
Mwana dada alieshika bango la Free DC's Budet akiwa katika mwendo wa kuunga mkono gwaride hilo
Cheif wa swahilivilla akiwa na Tabu Henry Tayor African American aliejivisha minyororo kama mtumwa alieeachiwa huru kwa mazungumzo zaidi tutawaletea alichokielezea wakati alipolonga na kwa swahilivilla.
Mama Nea Kuumba (wapili kushoto) akiwa na wezake kando ya barabara ya Pennsylvania Avenue, NW wakiunga mkono Emancipation Day Parade - Washington DC
Mjomba Samuel ambae ni mTanzania anaeshi Washington DC akiwa na famili yake katika gwaride la Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC Nchini Marekani.
Chief wa swahilivilla Abou Shatry akiwa na Mayor wa wilaya ya District of Columbia Vincent C. Gray , kushoto Mrs Helen L. Higginbotham katika parade ya mazimisho ya The District of Columbia Emancipation Day
Miss District of Columbia 2012 Allyn Rose akitembezwa katika gwaride la Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC Nchini Marekani.
Miss Nouthwest District of Columbia akipata flash katika gwaride la Maadhimisho 151 ya Ukombozi wa Watumwa katika wilaya ya District of Columbia barabara ya Pennsylvania Avenue, NW Washington DC
Vijana wa Universoul Circus is black Washington DC
0 comments:
Post a Comment