SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 10, 2013

LORI LA MAFUTA CHUPUCHUPU KUDONDOKA MTO WAMI

Lori la mafuta likiwa limening'inia katika daraja la mto Wami baada ya tela lake kukatika.
Wananchi na wasafiri wakiwa eneo la tukio kushuhudia ajali  hiyo iliyosababisha foleni ndefu.
Wanausalama wakiwa eneo la tukio kuweka mambo sawa.
Ajali hii ilitokea eneo la mto Wami baada ya tela la lori la mafuta kukatika na kusababisha lori hilo kuponea chupuchupu kuzama katika mto huo.
Mpaka lori hilo linaondolewa kwenye eneo la ajali, abiria walikuwa wamekwama kwa muda wa zaidi ya saa sita ambapo kwa pande zote mbili watu walilazimika kusubiri lori hilo.
CHANZO: Habari Mpasuko Blog

0 comments:

Post a Comment