SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, April 30, 2013

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman Amtembelea Spika Wa Bunge Anne Makinda Mjini Dodoma

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman alipofika kumtembelea Ofisini kwake Dodoma leo na kufanya nae mazungumzo.
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman alipofika kumtembelea Ofisini kwake Dodoma
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake wakimsikiliza Spika wa Bunge Ofisi Kwake leo. Jaji Mkuu na Ujumbe wake walimtembelea Mhe. Spika na kufanya nae Mazungumzo Ofisini kwake Mjini Dodoma
 Mbunge wa Maswa (CHADEMA) Mhe. John Shibuda akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman kuelekea Ofisi ya Spika alipofika viwanja vya Bunge leo. Jaji Mkuu na Ujumbe wake walimtembelea Mhe. Spika na kufanya nae Mazungumzo Ofisini kwake Mjini Dodoma
 Mbunge wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde akieleza jambo kwa hisia Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman katika viwanja vya Bunge leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Mhe. Ngeleja Bungeni leo.
Picha Zote na Owen Mwandumbya-BUNGE

0 comments:

Post a Comment