Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini
(aliyesimama) akiwasilisha maoni ya wafanyakazi wa Ofisi hiyo kuhusu
Katiba Mpya kwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano
baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam jana
(jumanne januari 15, 2013)
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Solanus
Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw.
Jamanne Sagini (kulia) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo jana
(jumanne januari 15, 2013).
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Nenelwa
Mwihambi (kulia) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw.
Jamanne Sagini (Kaunda suti nyeupe) wakati waliotembelea ofisi za Tume
hiyo jana (jumanne januari 15, 2013).
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Hanifa
Masaninga (kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu mfumo uandaaji wa maoni
ya wananchi katika taarifa rasmi (Hansard) kwa wafanyakazi kutoka Ofisi
ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa
na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Jamanne Sagini (wa pili kushoto) wakati waliotembelea
ofisi za Tume hiyo jana (jumanne januari 15, 2013).
Picha Zote na Tume ya Katiba
0 comments:
Post a Comment