Mwanasiasa
mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya (kushoto) akizungumza na
wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yake na
Tume hiyo uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam ambapo
aliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya.
Naibu Mwanasheria Mkuu
wa Serikali, Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) na Prof.
Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kuwasilisha maoni yake kuhusu
Katiba Mpya kwa Tume hiyo jana katika ofisi za Tume jijini Dar es
Salaam.
(Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)
0 comments:
Post a Comment