SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, November 4, 2012

Wabunge Watoa Maoni Katiba Mpya

 Meza kuu ilivyokuwa katika mkutano huo.

Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo.
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma leo Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba, Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.
 Mbunge wa Bunda na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano) Mhe. Steven Wassira akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano huo. 
 Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni yake katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea kabla ya kuanza kwa mkutano wa mkutano wa kukusanya maoni ya Wabunge kuhusu Katiba Mpya mjini Dodoma leo Jumamosi, Novemba 3, 2012. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda na kushoto ni Makamu wake Jaji Augustino Ramadhani na Katibu wa Tume Bw. Assaa Rashid.

Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street,
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

0 comments:

Post a Comment