Ujumbe wa aliyekuwa mpatanishi mkuu wa amani humu nchini mwaka 2007 Kofi Annan pamoja na aliyekuwa Rais wa Tanzania Benjamin Mkapa wameitaka serikali kuendesha mageuzi katika sekta ya usalama haraka iwezekanavyo kabla ya uchaguzi mkuu, wakitaka machafuko ambayo yameshuhudiwa katika eneo la pwani kutatuliwa mara moja.
Wawili hao ambao wamekamilisha ziara yao ya siku tatu hii leo wameondoka bila kukutana na Rais Kibaki licha ya kuandika barua kuashiria nia yao ya kujadili hatua zilizopigwa katika utekelezaji wa ajenda ya nne katika mkataba wa makubaliano.
Esther Kahumbi na taarifa zaidi.
Esther Kahumbi na taarifa zaidi.
0 comments:
Post a Comment