Kufuatia sakata la kuwepo kwa dawa bandia za kupunguza makali ya ukimwi serikali imemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bohari ya dawa pamoja na vigogo wengine wawili katika bohari hiyo akiwemo mkuu wa kitengo cha udhibiti ubora wa bohari hiyo sambamba na kukifungia kiwanda kilichozalisha dawa hizo cha Tanzania Pharmacetical Industries Limited.
Friday, October 12, 2012
Mkurugenzi Mkuu Wa Bohari Ya Dawa Amesimamishwa Kazi.
Kufuatia sakata la kuwepo kwa dawa bandia za kupunguza makali ya ukimwi serikali imemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa bohari ya dawa pamoja na vigogo wengine wawili katika bohari hiyo akiwemo mkuu wa kitengo cha udhibiti ubora wa bohari hiyo sambamba na kukifungia kiwanda kilichozalisha dawa hizo cha Tanzania Pharmacetical Industries Limited.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Friday, October 12, 2012
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment