SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, October 12, 2012

Tume ya rais iliyopewa jukumu la kuchunguza kuzama kwa meli ya Mv Skagit imemaliza kazi yake na kumkabidhi ripoti rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT,kutoka Mwenyekiti wa Tume kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar leo.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT,iliyosomwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv
SKAGIT,iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar 


VIDEO

0 comments:

Post a Comment