SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, September 15, 2012

Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF)Latoa Msaada wa vitu mbalimbali Kwa Gereza la Segerea Jijini Dar es Salaam

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akihutubia hafla hiyo.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima (kulia) akipokea msaada wa kijamii kutoka kwa Mwakilishi Msaidizi wa kitengo cha  kuunganisha watoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF) nchini,  Paul Edwards (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dare es Salaam leo. UNICEF imetoa msaada wa vitu mbalimbali kama vyandarua, magodoro, mito, taulo  na vifaa vya michezo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani 8,972. Kulia ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Fidelis Mboya.
Baadhi ya maafisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria hafla hiyo.
Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

0 comments:

Post a Comment