SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 18, 2012

January Makamba Afunguka Kuhusu Rushwa Kwenye Uchaguzi Wa Wabunge Wa Bunge La Afrika Mashariki

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli(CCM)na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Nishati na Madini ya Bunge  Mheshimiwa January Makamba Amesema "Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Hii ni aibu kwa Taifa zima!"
CREDIT TO H@ki Ngowi.

0 comments:

Post a Comment